Ingia / Jisajili

Maneno ya Kinywa Changu

Mtunzi: Julius Anari
> Mfahamu Zaidi Julius Anari
> Tazama Nyimbo nyingine za Julius Anari

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Julius Anari

Umepakuliwa mara 434 | Umetazamwa mara 1,342

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Chorus: Ee Mungu unihifadhi kwa kuwa nimekukimbilia wewe. Maneno yote ya kinywa changu na mawazo yangu ya moyo wangu, yapate kibali mbele, mbele zako Ee Bwana Mungu, Ee Bwana mwamba wangu na mwokozi wangu x2

1.Ni na ni awezaye, kuyatambua makosa, makosa yake yote, unitakase na mambo ya siri.

2. Kicho chake Bwana, nikitakatifu, kinadumu milele, hukumu zake ni za kweli na haki.

3. Sheria yake Bwana ni kamilifu, huiburudisha nafsi, ushuhuda was Bwana ni amini.

4. Tena mtumishi wako, huonywa kwa kwazo, katika kuzishika, katika kuzishika kuna thawabu.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa