Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 5,800 | Umetazamwa mara 11,279
Download Nota Download Midi//:Amri mpya nawapa, amro mpya nawapa mpendane mpendane kama vile nilivyowapenda ninyi://
1.Bwana Yesu alipokwisha kuwaosha miguu wanafunzi wake, akawaambia akasema akawaambia akasema.
2.Hivyo watu watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.