Ingia / Jisajili

Mtu Akinitumikia

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 10,427 | Umetazamwa mara 19,308

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mtu akinitumikia naanifuate asema Bwana x 2
Nami nilipo ndipo ndipo na mtumishi wangu atakapo kuwapo. x 2

  1. Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu, atamheshimu.
     
  2. Yeye aaipendayo nafsi yake ataiangamiza, ataiangamiza.
     
  3. Naye aichukiaye nafsi yake katika ulimwengu huu, ataisalimisha hata uzima wa milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa