Ingia / Jisajili

Fadhili Za Bwana

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 10,446 | Umetazamwa mara 16,993

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Fadhili za Bwana nitaziimba milele, kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako x 2

  1. Maana nimesema, fadhili zitajengwa milele, katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
     
  2. Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe, Ee Bwana huenenda katika nuru ya uso wako. 
     
  3. Kwa jina lako nafurahi mchana kutwa na kwa haki yako hutukuzwa hutukuzwa.
     
  4. Maana fahari ya nguvu zao ni wewe na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka. 

Maoni - Toa Maoni

Abel Aug 27, 2019
Uko vizuri bwana J. Mgandu mimgu akubariki na kazi yako uendelee hivyohivyo kutunga songs ?

Girbelt mwombek Nov 09, 2017
Shukran!

Toa Maoni yako hapa