Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 496 | Umetazamwa mara 1,695
Download Nota Download Midi(Amri mpya nawapa), Mpendane, mpendane x2. Kama vile kama vile, nilivyowapenda ninyi (nanyi) Mpendane x2
1.Niko nanyi kwa muda mfupi tu, lakini sasa, nawaambieni, Mpendane.
2.Niendako ninyi hamuwezi kwenda, nawapeni Amri hii, Mpendane.
3.Mkipendana watu watajua kwamba ninyi, niwanafunzi wangu, Mpendane.