Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 328 | Umetazamwa mara 1,165
Download Nota Download MidiUwe pamoja nami Ee Bwana, uwe pamoja nami katika Taabu zangu zote x2 {Nitasema Bwana ndiye kimbilio na Ngome yangu, Mungu wangu nitakaye mtumaini x2}.
1.Akatiye Mahahli pake pa Siri aliyejuu, nitasema Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu.
2.Mabaya hayatakupata wewe wla Tauini haitakaribia hema yako, kwa kuwa atakuagizia Malaika zake.
3.Mikononi mwao watakuchukua, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe, utawakanyaga Simba na Nyoka.
4.Kwa kuwa amekaza kunipenda, nitamwokoa na kumweka palipo juu kwa kuwa amejua jina langu.
5.Ataniita nami nitamwitikia, nitakuwa pamoja naye taabuni, nitamwokoa na kumtukuza.