Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Sadaka / Matoleo | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 6,511 | Umetazamwa mara 12,872
Download Nota Download Midi(Mathayo 6:1-4, 16-17)
Angalieni msifanye wema wenu machini pa watu, kusudi mtazamwe nao, kwa maana mkifanya hivyo hampati thawabu
1. Basi wewe utoapo sa-daka yako, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, watukuzwe na watu
2. Bali wewe utoapo sadaka yako, hata mkono wako wa kushoto, usijue u-lifanyalo mkono wako mkono wa kuume, ulifanye kwa siri
3. Tena nanyi mfungapo msiwe wanafiki, wenye nyuso za kukunjamana, ili watu wawaone ninyi kana kwamba nanyi mnafunga, msifanye hivyo.