Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 2,079 | Umetazamwa mara 5,132
Download Nota Download MidiKiitikio
Ee bwana wavipenda vitu vyote vilivyopo, wala hukichukii, wala hukichukii, wala hukichukii Kitu chochote ulichokiumba x2
Mashairi:
1. Unawasamehe watu dhambi zao na kuwahurumia, maana ndiwe Bwana wewe ndiwe Bwana Bwana wa vyote
2. Unawakusanya waliopotea na kuwaleta kwako, na kuwakumbatia kwa huruma yako kama baba mwema
3. Wewe Bwana yote ulotutendea umeyatenda kwa haki, kwa kuwa sisi Bwana tumetenda dhambi tumetenda dha-mbi
4. Unatukumbusha kuziacha dhambi na-kutenda mema, maana watupenda sisi wana wako tuliowadhambi