Maneno ya wimbo
Angalieninawatumaninyikamawanakondookatikatiyambwamwitu *2
Basiiweninabusara, busarakamanyokanakuwawatuwapolekamanjiwa *2
1. Akawambiamavunonimengilakiniwatendakaziniwachachebasimwombeni Bwana wamavunoapelekewatendakazikatikashamba lake
2. Nyumbayoyotemtakayoingiasemeni kwanza amaniiwehumunaakiwamomwanaamaniitamkaliaasipokuwepoitawarudia
3. MjiwowotemtakaoingiavilenivyakulawalivyoandaawaponyeniwagonjwawalohumowaambieniufalmewaMunguumekaribia
4. Awasikilizayeanisilizanayeawakatayeanikataanayeanikatayemimiamkataayeyeamkataaaliyenituma
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu