Maneno ya wimbo
                MPENI BWANA UTUKUFU NA NGUVU
Mpeni Bwana utukufunanguvu, mpeni Bwana utukufunanguvu*2
Mpeni Bwana, mpeni Bwana, mpeni Bwana utukufunanguvu*2
1.	Mwimbieni Bwana wimbompya, mwimbieni Bwana, nchiyote, nchiyote
Wahubirinimataifahabarizautukufu wake, Na watuwotehabarizamaajabuyake.
2.	Kwa kuwa Bwana nimkuumwenyekusifiwasana. Na wakuhofiwakulikomiunguyote.
Maanamiunguyoteyawatusikitu, Lakini Bwana ndiyealiyezifanyambingu.
3.	Mpeni Bwana, enyijamaazawatu, Mpeni Bwana utukufunanguvu.
Mpeni Bwana utukufuwajina lake, Letenisadakamkaziingienyuazake.
4.	Mwabuduni Bwana kwauzuriwautakatifu, Tetemekenimbelezake, nchiyote.
Semenikatikamataifa, Bwana ametamalaki; Atawahukumuwatukwaadili
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu