Ingia / Jisajili

Kaa Nami Bwana

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 219 | Umetazamwa mara 679

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KAA NAMI BWANA WIMBO WA KOMUNIO 1. Kaa nami Bwana siku zote nisitenganishwe na wewe Bwana kwa chakula hiki nipate uzima (Yesu) uliyejaa na mapendo umekuja moyo mwangu wewe Muumba mwenyezi umekuja we’ umefika kwa kiumbe chako umekuja kunipa hakika ya mapendo yako unitie mapendo nikupende unavyostahili 2. Roho yako Kristo initakase Damu yako Kristo inichangamshe Mwili wako Kristo uniokoe 3. Mchungaji mwema ninakuomba uwa tendee uwandee, wal’ounganika, kote nawe mema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa