Ingia / Jisajili

Paza Sauti Piga Kelele

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 154 | Umetazamwa mara 446

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
PAZA SAUTI PIGA KELELE Paza sauti, piga kelele, paza sauti, piga kelele, Maana mtakatifu wa Israeli, ni mkuu kati yako*2 1. Tazama Mungu ndiye wokovu wangu, nitatumaini wala sitaogopa, maana Bwana ni nuru zangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu, basi kwa furaha mtateka maji katika visima, visima vya wokovu. 2. Mshukuruni Bwana liitieni jina lake, yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, litajeni jina lake kuwa limetukuka 3. Mwimbieni Bwana kwa kuwa ametenda makuu, nayajulikane haya katika dunia yote, paza sauti piga kelele, mwenyeji wa Sayuni, maana mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa