Ingia / Jisajili

Enyi waamini wote

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 271 | Umetazamwa mara 1,091

Download Nota
Maneno ya wimbo
Enyi waamini wote inuka twende tukatoe sadakax2 tutoe kwa moyo safi naye bwana atatubaeikix2 SHAIRI;. 1) Sasa Ni wakati wa kutoa ulichonacho umtolee mungu Kama shukrani. 2) sadaka yako uitoe kwa moyo safi naye mungu wako atakujazi. 3) Ee mungu mwenyezi tinakuja mbele zako na sadaka zetu Kama shukrani. 4) Ee mungu mwenyezi upokee sadaka zetu twakutolea Kama shukrani. 5) Ee mungu mwenyezi tunaleta na Sala zetu uvipokee Ee mungu wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa