Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana

Mtunzi: Frederick Ajali
> Mfahamu Zaidi Frederick Ajali
> Tazama Nyimbo nyingine za Frederick Ajali

Makundi Nyimbo: Anthem | Mwanzo | Tenzi za Kiswahili | Zaburi

Umepakiwa na: Fredrick Ajali

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mwimbie Bwana wimbo mpya, (kwa maana ametenda mambo ya ajabu {mwimbie}*2) hakika machoni pa mataifa ah!*2 Bwana amedhihirisha haki yake Haleluhya!

  1. Tujongeeni mbele zake Mungu wetu, tukapate baraka ya milele Ah! *2
  2. Mwimbieni bwana Mungu wimbo mpya, kwa maana ni mkuu wa milele *2
  3. Tukuzeni Mungu wetu, ni muweza, anaweza mambo yote wa milele *2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa