Ingia / Jisajili

Sala Ya Jioni

Mtunzi: Frederick Ajali
> Mfahamu Zaidi Frederick Ajali
> Tazama Nyimbo nyingine za Frederick Ajali

Makundi Nyimbo: Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Fredrick Ajali

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 4

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ninashukuru ee Mungu, kwa mema yote ulonijalia siku ya leo x2

  1. Umenijalia afya ya mwili, riziki nimepata nashukuru.
  2. Umenilinda siku nzima, unilinde tena usiku huu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa