Ingia / Jisajili

Ataniita

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,171 | Umetazamwa mara 8,454

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ataniita nami nitamwitikia, nitamwokoa na kumtukuza, kwa siku nyingi nitamshibisha x 2

  1. Uniangalie na kunifadhili, maana mimi ni mkiwa na mteswa.
     
  2. Utazame teso langu na taabu yangu, unisamehe dhambi zangu zote, Ee Mungu. 

Maoni - Toa Maoni

Jackson May 23, 2017
nawapongeza kwa kaz njema ya kulitangaza neno la bwana, bwana awabariki sana.

Toa Maoni yako hapa