Ingia / Jisajili

AULAYE MWILI WANGU.

Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: FINIAS MKULIA

Umepakuliwa mara 564 | Umetazamwa mara 1,865

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:-

Aulaye mwili mwili wangu nakuinywa damu yangu,huyo hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake.

MASHAIRI:-

1.Aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu,ana uzima wa milele.

2. Njooni enyi wenye njaa, njooni enyi wenye kiu, njoni kwangu niwashibishe.

3.Aniaminiye mimi na kushika nisemayo, nitamfufua siku ya mwisho.

4.Mlapo chakula hiki, mywapo kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana.


Maoni - Toa Maoni

Michael Musoi Jul 03, 2024
Very resourceful

Toa Maoni yako hapa