Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 445 | Umetazamwa mara 1,798
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Tumtolee Mungu wetu sadaka safi, ikupendeze machoni pako ewe Mungu wetu X 2
Iwe kama ya Abeli mtumishi wako mwaminifu, ikupendeze machoni pako ewe Mungu wetu X 2
MASHAIRI
1.Twakutolea sala zetu uzisikilize Baba Mungu, na uzipokee
2.Na mazao ya mashambani tunaleta kwako Baba Mungu na uyapokee
3.Nazo fedha za mifukoni twazileta kwako Baba Mungu na uzipokee.
4.Mkate pia divai nikazi ya mikono yetu Baba upokee.
5.Hata sisi ni mali yako twajitoa kwako Mungu wetu, utupokee.