Ingia / Jisajili

Nitalitangaza Neno Kwa Watu Wote

Mtunzi: Lisley J Kimbwi
> Mfahamu Zaidi Lisley J Kimbwi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lisley J Kimbwi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito

Umepakiwa na: Lisley Kimbwi

Umepakuliwa mara 48 | Umetazamwa mara 80

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NITALITANGAZA NENO KWA WATU WOTE Nitalitangaza Neno Mimi kwa watu wote (watu wote) katika nchi zote nitalihubiri (Neno) ili watu waokoke pia wamjue Mungu, (e Mungu nipe nguvu ) nilitangaze Neno. 1) watu wote wamkimbie muhovu yule shetani wamgeukie Mungu ili wapate uzima 2)Upendo uongezeke amani iongezeke watu tusaidiane ili tufike Mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa