Ingia / Jisajili

Baba Pokea Sadaka - Sikusi

Mtunzi: Steve Khakolongolo
> Mfahamu Zaidi Steve Khakolongolo
> Tazama Nyimbo nyingine za Steve Khakolongolo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Steve Khakolongolo

Umepakuliwa mara 675 | Umetazamwa mara 1,218

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BABA POKEA SADAKA – SIKUSI Baba pokea sadaka yetu ijapo ni kidogo twakutolea na moyo wote twaomba uipokee (iye iyele)X8 (pokea Baba hii sadaka tunaileta kwako)x2 tunakuomba ewe Baba uibariki 1. Ni mazao ya mashamba yetu tunayaleta kwako tuna kuomba ewe Baba uibariki 2. Na hata fedha za mifuko tunazileta kwako tunakuomba ewe Baba uzibariki

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa