Ingia / Jisajili

Mama Maria - Holy Trinity Marakaru

Mtunzi: Steve Khakolongolo
> Mfahamu Zaidi Steve Khakolongolo
> Tazama Nyimbo nyingine za Steve Khakolongolo

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Steve Khakolongolo

Umepakuliwa mara 239 | Umetazamwa mara 629

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MAMA MARIA Mama Maria tunakushukuru una neema zake Mungu Baba wewe ndiwe Mama mwenye baraka asante sana mama wetu 1. Hongera mama kwa kumzaa Yesu mwana wa Mungu mwokozi wetu Utuombee ee mama wetu asante sana mama wetu 2. Salamu Mama we ni malkia ulipalizwa juu mbinguni una baraka kuliko wake wenza asante sana mama wetu 3. Ulikingwa na dhambi ya asili ili umzae mwana wa Mungu ili aweze kukomboa dunia asante sana mama wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa