Ingia / Jisajili

Baba Tunaleta Kuccc

Mtunzi: Steve Khakolongolo
> Mfahamu Zaidi Steve Khakolongolo
> Tazama Nyimbo nyingine za Steve Khakolongolo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Steve Khakolongolo

Umepakuliwa mara 289 | Umetazamwa mara 657

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BABA TUNALETA SADAKA (Khaks) Baba tunaleta sadaka yetu baba, (uipokee sadaka yetu, ee Mungu wetu uliyejuumbinguni) Ee (ewe baba ee baba ee) tupe Baraka zako. 1. Mkate wetu,tunauleta baba, uupokee, Asa Waitu Ngai 2. Divai yetu, tunaileta baba, uipokee, Baba witu Ngai 3. Mazao yetu, tunayaleta baba, uyapokee, Papa Wele wefwe 4. Nafedha zetu, tunazileta baba, uzipokee, Baba Mungu wetu 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa