Ingia / Jisajili

Chakula Chake Bwana

Mtunzi: Steve Khakolongolo
> Mfahamu Zaidi Steve Khakolongolo
> Tazama Nyimbo nyingine za Steve Khakolongolo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Steve Khakolongolo

Umepakuliwa mara 163 | Umetazamwa mara 276

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
CHAKULA CHAKE BWANA Chakula chake bwana ni chakula cha roho, tujongeeni sote tukampokee Bwana Yesu. Na damu yake Bwana ni kinywaji cha roho, tujongeeni sote tukampokee Bwana Yesu. 1. Sote twakaribishwa tukampokee Yesu, ni mwana wake Mungu anatuita sote, tujongeeni meza yake Bwana ili tukampokee 2. Tuwe nayo imani tukampokee Yesu, ni mwana kondoo anatupenda sote, tujongeeni meza yake Bwana ili tukampokee 3. Bwana tupe upendo katika moyoni mwetu, ili utuongoze tunapokupokea, tujongeeni meza yake Bwana ili tukampokee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa