Ingia / Jisajili

Nirudieni Mimi

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: John Kimaro

Umepakuliwa mara 287 | Umetazamwa mara 949

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Lakini hata sasa asema Bwana nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote kwa maana ni mwenye ne-ema na hurumax2. Shairi(1) fanyeni mabadiliko mioyoni Mweni kwa kudinga na kwa Julia na kuomboleza. (2) pigeni tarumbeta huko sayuni waambieni watu wote ili wafunge. (3)kusanyeni watu wote waleteni kwangu waleteni na watoto na hata wazee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa