Ingia / Jisajili

Baba Yangu Ikiwa Haiwezekani

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 276 | Umetazamwa mara 668

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Baba (Baba yangu) yangu ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa mapenzi yako yatimizwe X2

1. Baba yangu ikiwezekana kikombe hiki kiniondokee

2. Lakini si kama nitakavyo bali kama utakavyo wewe

Maoni - Toa Maoni

Lucas budeba Nov 24, 2024
Hongeraa xana

Toa Maoni yako hapa