Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana Wimbo Mpya

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 694 | Umetazamwa mara 1,503

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni Bwana nchi yote (heshima na adhama ziko mbele zake nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake) X2

1. Mwimbieni Bwana libarikini jina lake tangazeni wokovu wake siku kwa siku

2. Wahubirini mataifa habari za utukufu na watu wote habari za maajabu yake

3. Mpeni mpeni Bwana enyi jamaa za watu mpeni mpeni Bwana utukufu na nguvu

4. Mpeni Bwana utukufu wa jina lake leteni sadaka mkaziingie nyua zake

5. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu tetemekeni mbele zake mbele zake nchi yote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa