Ingia / Jisajili

Baba Ninawaombea Hao

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 252 | Umetazamwa mara 629

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 13 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Baba ninawaombea hao ili wawe ndani yetu ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma X2 1. Wala si hao tu ninaowaombea lakini na watakaoniamini kwa sababu ya neno lao 2. Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa