Ingia / Jisajili

KRISTU ALIJINYENYEKEZA_Original

Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma

Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza

Umepakuliwa mara 906 | Umetazamwa mara 1,726

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KRISTU ALIJINYENYEKEZA

Kristu alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti naam mauti ya msalaba x2   

  1. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha akamkirimia jina lile lipitalo kila jina
  2. Ninyi nyote mnaomcha Bwana msifuni, enyi nyote mlio wazao wa Yakobo mtukuzeni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa