Mtunzi: Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
> Mfahamu Zaidi Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
> Tazama Nyimbo nyingine za Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 569 | Umetazamwa mara 1,498
Download Nota Download MidiBwana aliniambia (Wewe ni Mwana wangu) mimi leo nimekuzaa nimekuzaa leo x2
1.Tufurahi sote, katika Bwana kwa sababu Mwokozi wetu amezaliwa duniani.
2.Amani ya kweli imetujia, leo imetushukia imeshuka toka mbinguni.
3.Atukuzwe Baba, Baba Mwenyezi mwana wa Mungu atukuzwe, Atukuzwe Roho Mfariji