Ingia / Jisajili

MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA

Maneno ya wimbo
  • Mwimbieni Bwana Wimbo mpya mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake x2

  • 1.Mfanyieni Bwana shangwe kwa kuwa ni mwe-ma kwa sababu ametenda mambo ya ajabu
  • 2.Inueni sauti zenu imbeni zaburi kwa sababu ametenda mambo ya ajabu
  • 3.Njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe kwa sababu ametenda mambo ya ajabu.
  • 4.Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu kwa sababu ametenda mambo ya ajabu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa