Mtunzi: Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
> Mfahamu Zaidi Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
> Tazama Nyimbo nyingine za Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 531 | Umetazamwa mara 1,938
Download Nota(Sauti ya Baba ilitoka katika Wingu Jeupe! "Huyu ni mwanangu mpendwa wangu Msikieni yeye, msikieni yeye")x2.
1.Kisha likatoka Wingu Jeupe, Likawatia uvuli Sauti kutoka Wingu lile ikisema. (Baada ya shairi imba kuanzia Huyu ni mwanangu................... mara mbili)