Mtunzi: Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
> Mfahamu Zaidi Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
> Tazama Nyimbo nyingine za Hayati Mwl Joseph Swila Sekondito
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 428 | Umetazamwa mara 1,310
Download Nota Download MidiMiisho yote ya Dunia imeuona, imeuona imeuona wokovu, wokovu wa Mungu wetu x2
1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
2.Mkono wa kuume wake mwenyewe mkono wake mtakatifu umetenda mambo makuu.
3.Bwana ameufunua wokovu wake, machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.