Ingia / Jisajili

BWANA ALIPOBATIZWA

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Ubatizo

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 326 | Umetazamwa mara 884

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA ALIPOBATIZWA 1. Alipo batizwa Bwana wetu Yesu Mbingu zikmfunikia Roho Ikashuka kwa mfano wa hua Sauti ya Bwana ikatoka ikasema huyu ni Mwana wangu ni mpenddwa wangu ikatoka ikasema huyu ni mwana wangu atualika twendeni ki kwake tujazwe Roho tujazwe roho roho wake Mungu 2.Yohane mbatizaji akasema kwamba, huyu ni mwana kondoo wake Mungu msikilizeni yeye.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa