Ingia / Jisajili

Wema Wa Bwana

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Ndoa | Zaburi

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 44 | Umetazamwa mara 135

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WEMA WA BWANA Wema wa Bwana unadumu milele hata na milele kwao wamchao. 1. Umsifu Bwana ee nafsi yangu navyote vilivyo mond ni yangu, yalisifu jina lake takatifu, wala usi sahau fadhili zake 2. Bwana ni huruma pia neema, hakasiriki upesi ana fadhili vile baba anahurumia wana wake, ndivyo Bwana u hurumia wamchao 3.Wema wako Bwana wadumu milele, milele na milele kwao wamchao pia haki yake kwa wanao kwa wale wanao lishika agano lake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa