Ingia / Jisajili

Leo Ni Leo

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 87 | Umetazamwa mara 124

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
LEO NI LEO *Leo ni Leo ni siku tulioingoijea, kwa wenzetu Vicky na Sila tunawapongeza 1. Ewe Vicky umheshimu mumeo Sila, nawe sila umpende Vicky mke wako 2. Katika shida na raha msaidiane, ndona yenu iwe mfano bora kwa wakristu 3. Nyumba yenu iwe kweli nyumba ya sala, Naye Bwana Mungu abariki ndoa yenu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa