Ingia / Jisajili

Bwana Alipokwisha Kubatizwa

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: John Kimaro

Umepakuliwa mara 151 | Umetazamwa mara 567

Download Nota
Maneno ya wimbo
Bwana alipokwisha kubatizwa( ndipo) mbingu zikamfunukia roho akashuka kwa mfano wa hua na kukaa juu yakex2 shairi; (1)Na tazama sauti ya baba ikasema huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu msikieni yeye. (2)wewe ndiye mkombozi wetu twakuomba We Bwana utujalie (sisi)Moyo wa kusamehe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa