Mtunzi: Dr Eusebius Jose Mikongoti
> Mfahamu Zaidi Dr Eusebius Jose Mikongoti
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr Eusebius Jose Mikongoti
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti
Umepakuliwa mara 691 | Umetazamwa mara 2,483
Download Nota Download MidiBWANA AMEFUFUKA
Na Dr Mikongoti, E. J
Kiitikio:
Bwana amefufuka tuimbe aleluya, kwelikweli ale-luya x2
Bwana kafufuka, kwelikweli aleluya, mauti ameyashinda kweli Bwana ni mzima x2
Mashairi
1. Ni siku ya tatu leo kafufuka, kaacha kaburi wazi ni mzima, tumshangilie twimbe aleluya
2. Utukufu na ukuu una yeye, hata milele milele milele, alelu-ya ale--luya.