Mtunzi: Dr Eusebius Jose Mikongoti
> Mfahamu Zaidi Dr Eusebius Jose Mikongoti
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr Eusebius Jose Mikongoti
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti
Umepakuliwa mara 1,189 | Umetazamwa mara 4,323
Download Nota Download MidiBWANA AMEFUFUKA - Mikongoti, E.J.
Kiitikio:
Bwana amefufuka tuimbe aleluya, kweli kweli aleluyax2
Bwana kafufuka, kwelikweli aleluya, mauti ameyashinda kweli Bwana ni mzimax2
Mashairi:
1. Ni siku ya tatu leo kafufuka, kaacha kaburi wazi ni mzima, tumshangilie twimbe aleluya.
2. Utukufu na ukuu una yeye, hata milele milele milele, aleluya, aleluya