Ingia / Jisajili

Heri Taifa Ambalo Bwana Ni Mungu Wao

Mtunzi: Dr Eusebius Jose Mikongoti
> Mfahamu Zaidi Dr Eusebius Jose Mikongoti
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr Eusebius Jose Mikongoti

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 4,048 | Umetazamwa mara 9,065

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
HERI TAIFA Kiitikio: Heri Taifa (ambalo) Bwana ni Mungu wao x2 He--ri, he---ri, he---ri heri (heri heri) heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao x2 Mashairi: 1) Kwakuwa neno la Bwana lina adili (adili) na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu, Bwana huzipenda haki na hukumu (nchi) nchi imejaa fadhili za Bwana. 2) Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika (fanyika) na jeshi lake liye kwa pumzi ya kinywa chake maana yeye alisema ikawa (naye) naye aliamuru ikasimama. 3) Tazama jicho la Bwana li kwa wamchao (mchao) wazingojeao fadhili fadhili zake yeye huwaponya nafasi zao na mauti (na-ku) nakuwahuisha wakati wa njaa. 4) Nafasi zetu--- zina ngoja Bwana (Bwana) yeye--- ndi--ye ngapi yetu ngao ngao yetu, Ee Bwana fadhili zako zikae nasi (ka-ma) kama viletulivyokungoja wewe.

Maoni - Toa Maoni

Vincent Aug 31, 2024
Barikiwa sana. You really bless me

Thomas G. Mwakimata Aug 01, 2022
kazi nzuri, hongeraa

Modest Siame May 25, 2018
Hongera kwa wimbo mzuri

Toa Maoni yako hapa