Mtunzi: Dr Eusebius Jose Mikongoti
> Mfahamu Zaidi Dr Eusebius Jose Mikongoti
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr Eusebius Jose Mikongoti
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 12
Download Nota Download MidiTUJONGEE KWA KARAMU.
Kiitikio:
Tujonged kwa karamu tule mwili tunywe damu yake Bwana, (twendeni) Bwana Yesu atuita kwa karamu x2.
Enyi wenye moyo safi Bwana anatualila kweli ni chakula bora kwetu sisi wasafiri. Tule mwili tunywe damu yake Bwana x2
1) Karamu ya Bwana Yesu tayari imeandaliwa, twende sote tushiriki karamu ya Bwana Yesu, Tule mwili tunywe damu ya Bwana Yesu.
2) Enyi wenye moyo safi tujongee mezani pake, tule mwili wake Yesu chakula cha roho zetu ili tuupate uzima wa milele.