Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,251 | Umetazamwa mara 5,522
Download Nota Download MidiKiitikio
Bwana amejaa huruma na neema haoni hasira upesi ni mwingi wa fadhili x 2
Mashairi
1.E nafsi yangu umuhimidi Bwana naam vyote vilivyomo ndani yangu vilihimidi jina lako takatifu.
2.E nafsi yangu umuhimidi Bwana wala usizisahau fadhili zake zote.
3.Akusamehe maovu yako yote akuponya na magonjwa yako yote aukomboa uhai wako na kaburi.
4.Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki na hukumu kwa wote wanaoonewa.
5.Akutia taji ya fadhili na neema aushibisha uzee wako ujana wako ukarejezwa kama tai
6.Alimjulisha Musa njia zake wana wa Israeli matendo yake.