Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Himery Msigwa
Umepakuliwa mara 37 | Umetazamwa mara 43
Download Nota Download MidiNinakwenda mimi mwenyewe nikatoe sadaka kwa Bwana Mungu , nikamshukuru mwenywezi kwa kunilinda Kwa wiki nzima , nasimama ninakwenda mimi mwenyewe nikatoe sadaka kwa Bwana, nikamshukuru mwenyezi Mungu Muumba wangu