Ingia / Jisajili

BWANA AMENITUMA

Mtunzi: Joseph Nyagsz
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyagsz

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Majilio

Umepakiwa na: JOSEPH MOSIORI

Umepakuliwa mara 901 | Umetazamwa mara 3,079

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA AMENITUMA

Basi ndivyo Bwana alivyonituma mimi nije kuwahubiri mataifa. Tubuni na kuomba, na yote mnayoyapitia nitawaondolea. Salini kila wakati nayo majaribu mnayoyapitia mtayashinda.

1.Kwa maana Mungu wenu ni mwenye huruma na pendo.

2.Kama alivyoiweka ahadi yake zamani.

3. Hata sasa asema nirudieni kwa kweli.

4. Basi jifungeni nira mkawacheni yote njoo kwangu.


Maoni - Toa Maoni

Lengakwiy Katetepa Feb 22, 2024
Hongera sana mtunzi

Toa Maoni yako hapa