Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyotutendea

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 93 | Umetazamwa mara 247

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana yote uloyotutendea, umeyatenda kwa haki//2 kwa kuwa sisi tumetenda dhambi (wala) hatukuzitii amri zako//2 1.Ulitukuze jina lako na kututendea sawasawa na fadhili zako. 2.Nasi tukufuate wewe kwa unyoofu maana wanaokutumaini wewe hawataaibika

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa