Ingia / Jisajili

Tuitambue Sakramenti Ya Ndoa

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 33 | Umetazamwa mara 68

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wakristo wote leo njooni tutafakari sote pamoja, mwenyezi Mungu ni mwema tena ni mwingi wa Fadhila, ni mwingi wa fadhila mwingi wa rehema atupenda sote, ametuwekea Sakramenti ya Ndoa ili tuishi katika familia zetu kwa pendo lake, tudumishe upendo, tudumishe furaha, tudumishe amani ndiyo misingi halisi tuwalee watoto kwa imani ya kikristo (wote) tuitambue Sakramenti ya Ndoa imetakatifuzwa (ni) imara yenye Baraka takatifu ya Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa