Ingia / Jisajili

Mungu Kimbilio Langu

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Shukrani

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 43 | Umetazamwa mara 77

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Ninakushukuru Mungu wangu kwa yote unayonijalia, wewe umekuwa msaada wangu umekuwa msaada wangu, umekuwa kimbilio langu. MASHAIRI: 1. Wewe umekuwa mwema sana, ninajikabidhi kwako Bwana. 2. Unanilinda mchana kutwa, katika hila zote za adui zangu, wewe waja upesi kuniepusha. 3. Wewe huniponya na magonjwa, niwapo safarini unakuwa nami, nakuniepusha na Ajali. 4. Katika taabu zote za maisha yangu ni wewe waniondolea.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa