Ingia / Jisajili

Bwana ameufunua Wokovu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 556 | Umetazamwa mara 1,782

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana ameufunua wokovu wokovu wake machoni pa mataifa, wokovu wake machoni pa mataifa x2.

  • 1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
  • 2.Mkono wa kuume wake mwenyewe, mkono wake mtakatifu umetenda wokovu.
  • 3.Bwana ameufunua wokovu wake, machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa