Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 766 | Umetazamwa mara 2,478
Download Nota Download MidiMungu wetu wakusihi, upokee sadaka yetu ya mkate na divai x2. {Mikononi mwa kuhani akifukiza ubani, Twaomba ikupendeze x2}
1.Sadaka yetu ya leo tunayotoa kwa moyo itakase Bwana uipokee.
2.Mawazo na nia zetu mbele ya altare yako na juhudi zetu Bwana zipokee.
3.Moshi huu wa ubani ukuelekee wewe pia kwako uwe na harufu nzuri.