Ingia / Jisajili

Mbegu nyingine

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 1,650 | Umetazamwa mara 3,836

Download Nota
Maneno ya wimbo

Mbegu nyingine zilianguka mbegu nyingine zilianguka penye udongo mzuri x2 Zikamea zikaa sana zikamea zikazaa penye udongo mzuri x2

  • 1.Mto wa Mungu umejaa maji wawaruzuku watu nafaka; (Maana ndiwe uitengenezaye ardhi x2)
  • 2.Matuta yake wayajaza maji wapasawazisha palipoinuka; (Waibariki mimea yake mimea x2)
  • 3.Namalisho yamevikwa kondoo na mabonde yamepambwa nafaka yanashangilia naam yanaimba


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa