Mtunzi: Benny Weisiko John
> Mfahamu Zaidi Benny Weisiko John
> Tazama Nyimbo nyingine za Benny Weisiko John
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Benny Weisiko
Umepakuliwa mara 2,625 | Umetazamwa mara 5,617
Download Nota Download MidiKiitikio
Bwana anakuja, Bwana anakuja Bwana, (Bwana anakuja) Bwana anakuja wahukumu, awahukumu Mataifa, Mataifa kwa haki. X2
Shairi
(b) Kwa panda na sauti ya baragumu shangilieni mbele za Mfalme Mfalme Bwana.
(b) Mito na ipige na ipige makofi, Milima na iimbe kwa furaha mbele za Bwana.
(b) Atauhukumu Ulimwengu kwa haki na mataifa kwa adili kwa adili.